Habari zenu agents........
Kutokana Na uwepo wa mtihani siku ya tarehe 04/01/2021 exclusively company inawatakia maandalizi mema ya mtihani huu sambamba Na kutoa taarifa ya kuahirishwa Kwa kikao cha tarehe 02/01/2021 kilichopangwa kufanyika hivi karibuni
AIDHA
Tunaomba radhi Kwa usumbufu utakaojitokeza ukisoma taarifa hii mwambie Na mwenzako
Imetolewa Na
MR.OO
0752799097/0654282469
Email: abdallahramadhani562000@gmail.com
Maoni
Chapisha Maoni