Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Desemba 27, 2020

KUAHIRISHWA KIKAO

Habari Kikao kilichotakiwa kufanyika tarehe 2/1/2021 kimeahirishwa kutokana Na sababu zilizo nje ya uwezo wetu Na badala yake kitafanyika tarehe 9/1/2021. Imeandaliwa Na                  MR.OO            0752799097

BELIEVE WE CAN

Habari Ninayofuraha kukualika wewe mwanafunzi wa IAA katika business platform inayoandaliwa Na Mr.oo ndani platform itajikita Na kumkutanisha muuzaji Na mnunuzi pamoja yaani itakuwa middle ya watu Hawa wawili usihofu kuhusu muda Na mahali pa kufanyia Business kila kitu kitafanyika online Kwa njia rahisi..... Lengo la kubwa la kukualika wewe  Kutafuta support yako katika hili AIDHA tungependa uwe agent wetu Na tufanye kazi pamoja........ Imetolewa Na                  Mr.oo 0752799097/0654282469        abdallahramadhani562000@gmail.com                     

ANNOUNCEMENT

 Habari zenu agents........ Kutokana Na uwepo wa mtihani siku ya tarehe 04/01/2021 exclusively company inawatakia maandalizi mema ya mtihani huu sambamba Na kutoa taarifa ya kuahirishwa Kwa kikao cha tarehe 02/01/2021 kilichopangwa kufanyika hivi karibuni AIDHA Tunaomba radhi Kwa usumbufu utakaojitokeza ukisoma taarifa hii mwambie Na mwenzako  Imetolewa Na                 MR.OO  0752799097/0654282469 Email: abdallahramadhani562000@gmail.com